Posts

Showing posts from October, 2025

Timu ambazo zimefuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2025/2026

Image
  Timu  ambazo zimefuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2025/2026     Al Ahly 🇪🇬    Power Dynamos 🇿🇲    Al Hilal SC 🇸🇩    St Eloi Lupopo 🇨🇩    Yanga 🇹🇿    Rivers United 🇳🇬    Petro Luanda 🇦🇴    JS Kabylie 🇩🇿    AS FAR 🇲🇦    Simba SC 🇹🇿    Mamelodi Sundowns 🇿🇦    Esperance Sportive de Tunis 🇹🇳     Stade Malien 🇲🇱     MC Alger 🇩🇿     Pyramids FC  🇪🇬 / Ethiopian Insurance 🇪🇹     RS Berkane  🇲🇦 / Al Ahli Tripoli  🇱🇾 

Wawakilishi wa tanzania ligi ya mabingwa ya wanawake ukanda wa CECAFA

Image
  Wawakilishi wa Tanzania ambao pia ndio wawakilishi wa ukanda wa CECAFA katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake klabu ya JKT Tanzania imepangwa kundi B kwenye michuano hiyo wakiwa na Mabingwa watetezi TP Mazembe , ASEC Mimosas pamoja na Gaborone United.
Image
 Wanamakundi wa CAF Champions League  mara saba mfululizo simba sports club wamekuwa na mwendelezo mzuri katika mashindano haya ikiwa ni mara ya saba mfululizo wakifuzu hatua ya makundi kombe la clabu bingwa Africa.

Full time real Madrid akiondoka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya timu ya Barcelona jana jioni mechi iliyochezwa saa 12:15 jioni kwa saa za Afrika mashariki

Image
  ⚪Real Madrid 2⃣  🔵FC Barcelona 1⃣ ⚽️ Mbappe ⚽️ Fermín ⚽️ Bellingham   Umeyapokeaje Matokeo Ya Derby hii kali ya vigogo wa soka la Spain tukutane kwenye comment hapo chini

Timu zilizotinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Africa 🌍

Image
  Hizi hapa timu zilizotinga makundi Kombe la Shirikisho Afrika Kwa msimu wa 2025/2026  🇹🇿 Azam FC 🇪🇬 Zamalek SC 🇩🇿 CR Belouizdad 🇲🇦 Wydad AC 🇿🇲 ZESCO United 🇨🇩 AS Maniema 🇩🇿 USM Alger 🇨🇮 San Pedro 🇹🇿 Singida Black Stars 🇲🇦 Olympique de Safi 🇿🇦 Kaizer Chiefs 🇿🇦 Stellenbosch FC 🇨🇬 Otoho d’Oyo 🇲🇱 Djoliba 🇰🇪 Nairobi United 🇪🇬 Al Masry Unaiona nafasi ya  Azam FC pamoja na Singida Black Stars wakitinga Robo Fainali?  Weka comment yako kuhusiana na  timu hizi mbili za Tanzania kunako Kombe la Shirikisho Afrika zitafuzu robo Fainali?

Tanzania yapeleka vilabu vinne vya soka kwenye hatua ya makundi klabu bingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika

Image
  Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Tanzania,  vilabu vinne vya Tanzania Bara vimefuzu hatua ya Makundi kwenye mashindano yanayosimamiwa na CAF. ➡️Ligi Ya Mabingwa Afrika  🦁 Simba SC | 🔰 Yanga SC  ➡️Kombe la Shirikisho Afrika  🍦Azam FC  | 🐆Singida BS Ni kipndi kizuri sana kwenye soka la Tanzania kuona imefanikiwa kupeleka timu zote nne hatua ya makundi ikiwa kila timu imefanya linalowezekana kufikia hatua ya makundi  Hebu achia comment yako hapo chini unalionaje soka la bongo kwa hapa tulipofikia na tunakoelekea tutarajie mazuri zaidi kulingana na ubora wa vikosi vya timu zetu?

ELCLASSICO LEO HII

Image
 ELCLASSICO LEO HII Yamebakia masaa machacche kufikia Derby hii ya pale nchini spain inayowakutanisha miamba mikubwa ya soka la ulaya pale spain ambapo tumezoea kuona lazma apatikane mbabe kwenye mechi hii ngumu sana ya soka pale spain kwenye laliga  Timu zote zimesajili kila timu ina ubora na wachezaji wenye ubora tofauti tofauti tuarajie mpira mzuri mpira wenye radha zote mpira wenye hadhi ya kutazamwa na wapenda soka duniani kote mpira wa kimataifa nibleo usiku mida ya  saa12:15 jion kwa saa za Afrika mashariki.

Kikosi Cha Simba SC Kinachoanza Kwenye Mchezo Wa Leo Dhidi Ya Nsingizini Hotspurs

Image
  Kikosi Cha Simba SC Kinachoanza Kwenye Mchezo Wa Leo Dhidi Ya Nsingizini Hotspurs leo saa 10jioni pale Benjamin mkapa stadium 🏟  kama unavyoona first eleven ya meneja pantev je tusubilie au tutarajie kuona pira biliani au pira la aina gan au pira matatoo popote ulipo fuatilia mtanange huu usikubali kupitwa.

Siku ya kumaliza kazi.

Image
 Siku ya kumaliza kazi. Ni mechi ya marudiano mkondo wa pili kati ya simba na Nsingizini hotspur inayotarajia kucheza leo majira ya saa 10 jion kwa saa za hapa nyumbani Tanzania ukiwa kama mpenda soka na mtu unaependa kuona soka na vilabu vyetu vya soka kutoka Tanzania vinasonga mbele kwenye hii michuano tukutane uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia simba wanavyotinga hatua ya makundi kibabe kwa ushindi mnono.
Image
   Ile siku ya Mnyama kuendelea kutamba kwenye dimba la Be njamin Mkapa ndio leo akiwakaribisha Nsingizini kutoka Eswatin mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika kumbuka kuwa Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa magoli matatu. Leo hii simba sc watacheza wakiwa nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Nsingizini hotspur ya kutoka kule nchini Eswatini ikumbukwe simba tayari alishinda mechi yake ya kwanza akiwa ugeni kwahyo leo kibarua ni kwao Nsingizini kuhakikisha wanashinda na wanafuzu hatua ya makundi ya club baronial Afrika  Je wanaweza toboa mbele ya mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni ngja tuone tukiwa kama wana soka.

Yanga katinga kibabe hatua ya makundi kombe la klabu bingwa barani Afrika baada ya kuiondosha silver striker ya kule malawi

Image
 Mchezo Umemalizika  Yanga SC 2 Silver Strikers 0 Wananchi wanatinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kumtoa Silver Strikers kwa jumla ya mabao 2 kwa 1

Orlando pirates waaga mashindano ya ligi ya mabingwa Afrika hii leo

Image
 Orlando Pirates waaga Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti licha ya ushindi wa kishujaa wa 3-0 Orlando Pirates wameonyesha mpambano makubwa kwa kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya FC Saint Eloi Lupopo katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Orlando, Oktoba 25, 2025. Matokeo hayo yalisawazisha jumla ya mabao 3-3 baada ya Pirates kuwa nyuma kwa 3-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Lubumbashi. Licha ya ushujaa huo uliowakutanisha wafungaji Thabiso Nemtajela, Yanela Mbuthuma na Monnapule Appollis, Lupopo waliibuka kidedea kwa mikwaju ya penalti 5-4 na kufuzu hatua ya makundi.

YANGA STARTING XI MATCHDAY

Image
 Kikosi Cha Yanga SC Kinachoanza Kwenye Mchezo Wa Leo dhidi ya Silver 

YANGA SC VS SILVER STRIKERS

Image
 LEO, Wananchi Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Silver Striker kutoka Malawi, mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia saa 11:00 jioni. Wananchi wanaingia katika mchezo huu wakisaka ushindi wa zaidi ya goli moja ili kutinga hatua ya makundi ya michuano hii.

NBCPL MATCHDAY

Image
  Ligi Kuu ya NBC inaendelea tena leo kwa michezo 3 kuchezwa katika viwanja tofauti ambapo saa 8 mchana Mashujaa FC atakua anamkaribisha Namungo katika dimba la Lake Tanganyika Kigoma , Saa kumi na robo alasiri Fountain Gate FC anacheza dhidi ya KMC katika dimba la Tanzanite Kwaraa Manyara huku saa 1 usiku Dodoma Jiji atakua katika dimba la Jamhuri pale Dodoma kucheza dhidi ya Pamba Jiji ya mwanza.

ELCLASSICOO WEEKEND HII BARCELONA VS REAL MADRID

Image
 Hapa Kylian Mbappe Kule Lamine Yamal  Ni El Classico Wikiendi Hii Uko Upande Gani?  Real Madrid 🤍 Barcelona 💜 Weka maoni yako kuhusiana na Derby hii ya pale Spain 🇪🇸 nani ataondoka kinara au kuahinda mchezo huu hapo kesho ikiwa timu zot zimesajili nz timu vigogo vya soka la Spain 🇪🇸 weka utabili wako mwasports .

Singida BS kurudiana na Flambeau ya Burundi leo Azam Complex! ⚽🔥

Image
 Singida BS kurudiana na Flambeau ya Burundi leo Azam Complex! ⚽🔥 Baada ya sare ya 1–1 kwenye mchezo wa kwanza, Singida BS watashuka dimbani Azam Complex kuwakabili Flambeau du Centre ya Burundi katika mchezo wa marudiano unaotarajiwa kuwa wa kasi na ushindani mkubwa kuanzia saa 1:00 usiku. Mashabiki wanatarajia kuona Singida BS wakitumia faida ya uwanja wa nyumbani kutinga hatua inayofuata ya ligi ya makundi kombe la shirikisho Africa. 
Image
Klabu ya soka ya Azam imetangaza kuwa mchezo wake wa marudiano kufuzu Makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM hautakua na kiingilio kwa majukwaa ya mzunguko.   Ofa hiyo haitahusisha majukwaa yote ya watu maalum (V.I.P), ambapo tutatoa kadi maalum kwa watu wote watakaoingia kwenye eneo la majukwaa hayo.