Ile siku ya Mnyama kuendelea kutamba kwenye dimba la Be
njamin Mkapa ndio leo akiwakaribisha Nsingizini kutoka Eswatin mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika kumbuka kuwa Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa magoli matatu.
Leo hii simba sc watacheza wakiwa nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Nsingizini hotspur ya kutoka kule nchini Eswatini ikumbukwe simba tayari alishinda mechi yake ya kwanza akiwa ugeni kwahyo leo kibarua ni kwao Nsingizini kuhakikisha wanashinda na wanafuzu hatua ya makundi ya club baronial Afrika
Je wanaweza toboa mbele ya mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni ngja tuone tukiwa kama wana soka.

Comments
Post a Comment