Full time real Madrid akiondoka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya timu ya Barcelona jana jioni mechi iliyochezwa saa 12:15 jioni kwa saa za Afrika mashariki
⚪Real Madrid 2⃣
🔵FC Barcelona 1⃣
⚽️ Mbappe
⚽️ Fermín
⚽️ Bellingham
Umeyapokeaje Matokeo Ya Derby hii kali ya vigogo wa soka la Spain tukutane kwenye comment hapo chini

Kazi nzuri brother
ReplyDeleteExactly na nitajihdi ziwe nzr zaidi
Delete