Siku ya kumaliza kazi.
Siku ya kumaliza kazi.
Ni mechi ya marudiano mkondo wa pili kati ya simba na Nsingizini hotspur inayotarajia kucheza leo majira ya saa 10 jion kwa saa za hapa nyumbani Tanzania ukiwa kama mpenda soka na mtu unaependa kuona soka na vilabu vyetu vya soka kutoka Tanzania vinasonga mbele kwenye hii michuano tukutane uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia simba wanavyotinga hatua ya makundi kibabe kwa ushindi mnono.
.jpg)
Comments
Post a Comment