Tanzania yapeleka vilabu vinne vya soka kwenye hatua ya makundi klabu bingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika

 



Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Tanzania,  vilabu vinne vya Tanzania Bara vimefuzu hatua ya Makundi kwenye mashindano yanayosimamiwa na CAF.


➡️Ligi Ya Mabingwa Afrika 

🦁 Simba SC | 🔰 Yanga SC 


➡️Kombe la Shirikisho Afrika 

🍦Azam FC  | 🐆Singida BS

Ni kipndi kizuri sana kwenye soka la Tanzania kuona imefanikiwa kupeleka timu zote nne hatua ya makundi ikiwa kila timu imefanya linalowezekana kufikia hatua ya makundi 

Hebu achia comment yako hapo chini unalionaje soka la bongo kwa hapa tulipofikia na tunakoelekea tutarajie mazuri zaidi kulingana na ubora wa vikosi vya timu zetu?

Comments

Popular posts from this blog