NBCPL MATCHDAY

 


Ligi Kuu ya NBC inaendelea tena leo kwa michezo 3 kuchezwa katika viwanja tofauti ambapo saa 8 mchana Mashujaa FC atakua anamkaribisha Namungo katika dimba la Lake Tanganyika Kigoma , Saa kumi na robo alasiri Fountain Gate FC anacheza dhidi ya KMC katika dimba la Tanzanite Kwaraa Manyara huku saa 1 usiku Dodoma Jiji atakua katika dimba la Jamhuri pale Dodoma kucheza dhidi ya Pamba Jiji ya mwanza.

Comments

Popular posts from this blog