ELCLASSICOO WEEKEND HII BARCELONA VS REAL MADRID
Hapa Kylian Mbappe Kule Lamine Yamal
Ni El Classico Wikiendi Hii Uko Upande Gani?
Real Madrid 🤍
Barcelona 💜
Weka maoni yako kuhusiana na Derby hii ya pale Spain 🇪🇸 nani ataondoka kinara au kuahinda mchezo huu hapo kesho ikiwa timu zot zimesajili nz timu vigogo vya soka la Spain 🇪🇸 weka utabili wako mwasports .

Comments
Post a Comment