Timu zilizotinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Africa ๐
Hizi hapa timu zilizotinga makundi Kombe la Shirikisho Afrika Kwa msimu wa 2025/2026
๐น๐ฟ Azam FC
๐ช๐ฌ Zamalek SC
๐ฉ๐ฟ CR Belouizdad
๐ฒ๐ฆ Wydad AC
๐ฟ๐ฒ ZESCO United
๐จ๐ฉ AS Maniema
๐ฉ๐ฟ USM Alger
๐จ๐ฎ San Pedro
๐น๐ฟ Singida Black Stars
๐ฒ๐ฆ Olympique de Safi
๐ฟ๐ฆ Kaizer Chiefs
๐ฟ๐ฆ Stellenbosch FC
๐จ๐ฌ Otoho d’Oyo
๐ฒ๐ฑ Djoliba
๐ฐ๐ช Nairobi United
๐ช๐ฌ Al Masry
Unaiona nafasi ya Azam FC pamoja na Singida Black Stars wakitinga Robo Fainali? Weka comment yako kuhusiana na timu hizi mbili za Tanzania kunako Kombe la Shirikisho Afrika zitafuzu robo Fainali?

Comments
Post a Comment