Klabu ya soka ya Azam imetangaza kuwa mchezo wake wa marudiano kufuzu Makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM hautakua na kiingilio kwa majukwaa ya mzunguko. Ofa hiyo haitahusisha majukwaa yote ya watu maalum (V.I.P), ambapo tutatoa kadi maalum kwa watu wote watakaoingia kwenye eneo la majukwaa hayo.

Comments
Post a Comment