Yanga katinga kibabe hatua ya makundi kombe la klabu bingwa barani Afrika baada ya kuiondosha silver striker ya kule malawi
Mchezo Umemalizika
Yanga SC 2
Silver Strikers 0
Wananchi wanatinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kumtoa Silver Strikers kwa jumla ya mabao 2 kwa 1

Comments
Post a Comment