Orlando pirates waaga mashindano ya ligi ya mabingwa Afrika hii leo

 Orlando Pirates waaga Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti licha ya ushindi wa kishujaa wa 3-0


Orlando Pirates wameonyesha mpambano makubwa kwa kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya FC Saint Eloi Lupopo katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Orlando, Oktoba 25, 2025.


Matokeo hayo yalisawazisha jumla ya mabao 3-3 baada ya Pirates kuwa nyuma kwa 3-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Lubumbashi. Licha ya ushujaa huo uliowakutanisha wafungaji Thabiso Nemtajela, Yanela Mbuthuma na Monnapule Appollis, Lupopo waliibuka kidedea kwa mikwaju ya penalti 5-4 na kufuzu hatua ya makundi.

Comments

Popular posts from this blog