YANGA SC VS SILVER STRIKERS
LEO, Wananchi Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Silver Striker kutoka Malawi, mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia saa 11:00 jioni.
Wananchi wanaingia katika mchezo huu wakisaka ushindi wa zaidi ya goli moja ili kutinga hatua ya makundi ya michuano hii.

Comments
Post a Comment