Posts

Timu ambazo zimefuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2025/2026

Image
  Timu  ambazo zimefuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2025/2026     Al Ahly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ    Power Dynamos ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ    Al Hilal SC ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ    St Eloi Lupopo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ    Yanga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ    Rivers United ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ    Petro Luanda ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด    JS Kabylie ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ    AS FAR ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ    Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ    Mamelodi Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ    Esperance Sportive de Tunis ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ     Stade Malien ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ     MC Alger ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ     Pyramids FC  ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ / Ethiopian Insurance ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น     RS Berkane  ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ / Al Ahli Tripoli  ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ 

Wawakilishi wa tanzania ligi ya mabingwa ya wanawake ukanda wa CECAFA

Image
  Wawakilishi wa Tanzania ambao pia ndio wawakilishi wa ukanda wa CECAFA katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake klabu ya JKT Tanzania imepangwa kundi B kwenye michuano hiyo wakiwa na Mabingwa watetezi TP Mazembe , ASEC Mimosas pamoja na Gaborone United.
Image
 Wanamakundi wa CAF Champions League  mara saba mfululizo simba sports club wamekuwa na mwendelezo mzuri katika mashindano haya ikiwa ni mara ya saba mfululizo wakifuzu hatua ya makundi kombe la clabu bingwa Africa.

Full time real Madrid akiondoka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya timu ya Barcelona jana jioni mechi iliyochezwa saa 12:15 jioni kwa saa za Afrika mashariki

Image
  ⚪Real Madrid 2⃣  ๐Ÿ”ตFC Barcelona 1⃣ ⚽️ Mbappe ⚽️ Fermรญn ⚽️ Bellingham   Umeyapokeaje Matokeo Ya Derby hii kali ya vigogo wa soka la Spain tukutane kwenye comment hapo chini

Timu zilizotinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Africa ๐ŸŒ

Image
  Hizi hapa timu zilizotinga makundi Kombe la Shirikisho Afrika Kwa msimu wa 2025/2026  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Azam FC ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Zamalek SC ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ CR Belouizdad ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Wydad AC ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ZESCO United ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ AS Maniema ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ USM Alger ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ San Pedro ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Singida Black Stars ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Olympique de Safi ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Kaizer Chiefs ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Stellenbosch FC ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฌ Otoho d’Oyo ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djoliba ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Nairobi United ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Masry Unaiona nafasi ya  Azam FC pamoja na Singida Black Stars wakitinga Robo Fainali?  Weka comment yako kuhusiana na  timu hizi mbili za Tanzania kunako Kombe la Shirikisho Afrika zitafuzu robo Fainali?

Tanzania yapeleka vilabu vinne vya soka kwenye hatua ya makundi klabu bingwa na kombe la Shirikisho barani Afrika

Image
  Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Tanzania,  vilabu vinne vya Tanzania Bara vimefuzu hatua ya Makundi kwenye mashindano yanayosimamiwa na CAF. ➡️Ligi Ya Mabingwa Afrika  ๐Ÿฆ Simba SC | ๐Ÿ”ฐ Yanga SC  ➡️Kombe la Shirikisho Afrika  ๐ŸฆAzam FC  | ๐Ÿ†Singida BS Ni kipndi kizuri sana kwenye soka la Tanzania kuona imefanikiwa kupeleka timu zote nne hatua ya makundi ikiwa kila timu imefanya linalowezekana kufikia hatua ya makundi  Hebu achia comment yako hapo chini unalionaje soka la bongo kwa hapa tulipofikia na tunakoelekea tutarajie mazuri zaidi kulingana na ubora wa vikosi vya timu zetu?

ELCLASSICO LEO HII

Image
 ELCLASSICO LEO HII Yamebakia masaa machacche kufikia Derby hii ya pale nchini spain inayowakutanisha miamba mikubwa ya soka la ulaya pale spain ambapo tumezoea kuona lazma apatikane mbabe kwenye mechi hii ngumu sana ya soka pale spain kwenye laliga  Timu zote zimesajili kila timu ina ubora na wachezaji wenye ubora tofauti tofauti tuarajie mpira mzuri mpira wenye radha zote mpira wenye hadhi ya kutazamwa na wapenda soka duniani kote mpira wa kimataifa nibleo usiku mida ya  saa12:15 jion kwa saa za Afrika mashariki.