Wapinzani watano wa DR Congo katika mechi za hatua ya mwisho za mchujo kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026



Wapinzani watano wa DR Congo katika mechi za hatua ya mwisho za mchujo kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 wamejulikana rasmi usiku wa kuamkia leo baada ya mechi za mwisho za hatua ya kawaida ya kuwania kufuzu mashindano hayo kukamilika rasmi.

Mechi hizo za hatua ya mwisho ya mchujo ambayo itahusisha timu za mabara matano tofauti zimepangwa kuchezwa Machi mwakani ambapo timu hizo sita zitasaka tiketi mbili za kucheza Kombe la Dunia.


Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog