Mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26 dhidi ya Atlético Petróleos de Luanda utapigwa Jumapili Novemba 23, 2025 kwenye Uwanja wa Mkapa kuanzia saa 10:00 jioni.
Klabu ya soka ya Azam imetangaza kuwa mchezo wake wa marudiano kufuzu Makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM hautakua na kiingilio kwa majukwaa ya mzunguko. Ofa hiyo haitahusisha majukwaa yote ya watu maalum (V.I.P), ambapo tutatoa kadi maalum kwa watu wote watakaoingia kwenye eneo la majukwaa hayo.

Comments
Post a Comment