Tuzo za CAF 2025 zinatarajiwa kufanyika leo jijini Rabat, Morocco, zikiwakutanisha nyota, makocha na timu bora kutoka bara la Afrika.

 


Tuzo za CAF 2025 zinatarajiwa kufanyika leo jijini Rabat, Morocco, zikiwakutanisha nyota, makocha na timu bora kutoka bara la Afrika. Hafla hiyo itatoa heshima kwa waliong’ara mwaka huu, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu kutangazwa kwa mshindi wa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika.


Comments

  1. Unaona ni wachezaji gan wataondoka na tuzo hizi achia comment yako hapa

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog