Simba akiwa uwanja wa nyumbani kapoteza mchezo wake wa kwanza wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya timu ya petro de luanda ya nchini Angola.
Simba SC imekuwa timu ya kwanza mwenyeji kupoteza mechi ya kwanza ya Makundi ya CAF CL Msimu huu.
✅Al Hilal πΈπ©2-1π©πΏ Mc Alger
✅Mamelodi πΏπ¦3-1π¨π© Lupopo
✅Yanga πΉπΏ1-0π²π¦ AS FAR
π€EspΓ©rance πΉπ³0-0π²π± S.Malien
✅Al Ahly πͺπ¬4-1π©πΏ Kabylie
✅Pyramids πͺπ¬3-0π³π¬ Rivers Utd
✅Berkane π²π¦3-0πΏπ² P.Dynamos
❌Simba πΉπΏ0 -1π¦π΄ Petro De Luanda

Comments
Post a Comment