Petro de Luanda wapinzani wa Simba SC CAF Champions League ni wagumu kwenye mechi zao kutokana na kuwa na ukuta usiopenyeka kirahisi kwa mujibu wa rekodi
Petro de Luanda wapinzani wa Simba SC CAF Champions League ni wagumu kwenye mechi zao kutokana na kuwa na ukuta usiopenyeka kirahisi kwa mujibu wa rekodi.
Timu hiyo kwenye mechi 7 za ushindani za hivi karibuni rekodi zinaonyesha kuwa ushindi mechi 5 ikipoteza mechi 2 na hakuna sare matokeo yao ni kushinda ama kupoteza.

Comments
Post a Comment