Msimamo wa Kundi D baada ya mechi ya kwanza kwenye kundi hilo kuisha kwa sare ya bila kufungana kati ya ES TUNIS na STADE MALIEN .
Msimamo wa Kundi D
πΉπ³ Esperance - Pts 1
π²π± Stade Malien - Pts 1
π¦π΄ Petro Atletico - Pts 0
πΉπΏ Simba SC - Pts 0
Leo mnyama simba atakuwa dimbani kukipiga dhidi ya timu ya petro Atletico majira ya saa 10jion saa za Afrika mashariki kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Comments
Post a Comment