Mshambuliaji wa Young Africans, Clement Mzize ๐น๐ฟ ameshinda tuzo ya goli bora kwenye tuzo za CAF 2025.
Mshambuliaji wa Young Africans, Clement Mzize ๐น๐ฟ ameshinda tuzo ya goli bora kwenye tuzo za CAF 2025.
Goli lake dhidi ya Tp Mazembe ๐จ๐ฉ limempa tuzo hiyo.
Ingawa hakuweza kuhudhuria kwenye hafla hiyo kutokana na jeraha, Mzize alituma ujumbe wa video wenye shukrani kwa wote waliomuamini na kumsaidia kufikia mafanikio hayo.
#CAFAwards2025

Achia comments yako hapa
ReplyDelete