MPAKA sasa nchi 34 zimejihakikishia kushiriki fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazounguruma nchini Mexico, Marekani na Canada, baada ya kukamilisha mchakato wa kufuzu.

Fainali za Kombe la Dunia 2026 zimepangwa kuanza Juni 11, 2026 na mechi ya ufunguzi itachezwa Estadio Azteca, Mexico City.

Comments
Post a Comment