Moussa camara goalkeeper wa simba kuikosa mechi ya kesho dhidi ya JKT .



 “Tutamkosa golikipa Moussa Camara lakini wachezaji wengine wote wapo kambini na wapo tayari kwaajili ya mechi.


Hii inatupa jeuri na matumaini ya kufanya vizuri katika mchezo wa kesho”


🎙️ Seleman Matola kuelekea kwenye mechi ya kesho dhidi ya JKT Tanzania.

kocha huyo ameongea na wanahabari akiwataarifu washabiki na wapenzi wote wa simba kuwa wamejianda vizuri kuhakikisha wanapata ushindi katika mechi hiyo itakayochezwa kesho majira ya saa 1 usiku.

Comments

Popular posts from this blog