Mchezo Umemalizika kwa azam kupoteza mechi kwa mabao mawili kwa sifuri dhidi ya AS Maniema.
CAF CONFEDERATION CUP 2025/2026
➡️ Mchezo Umemalizika kwa azam kupoteza mechi kwa mabao mawili kwa sifuri dhidi ya AS Maniema.
AS Maniema 2 🆚 Azam FC 0️⃣
Unadhani Kipi Wanatakiwa Kufanya Azam katika mechi ijayo ili waweze kuibuka na ushindi mechi zijazo za kombe la shirikisho Afrika.

Comments
Post a Comment