Manchester United wanajaribu kufanya mazungumzo na mashirikisho ya soka ya Cameroon, Morocco na Ivory Coast ili kuchelewesha safari za Bryan Mbeumo, Noussair Mazraoui na Amad Diallo kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

Kocha Ruben Amorim anatarajia wachezaji hao kuitwa kambini wiki mbili kabla ya mashindano kuanza Desemba 21, lakini ana matumaini kuwa makubaliano maalum yanaweza kufikiwa na vyama hivyo ili kuwazuia kuondoka mapema.
.jpg)
Comments
Post a Comment