Kikosi cha Simba Sc πΉπΏ kitaondoka Tanzania Alfajiri ya Alhamisi Novemba 27 kuelekea Mali π²π± kwaajili ya mechi ya pili ya Makundi ya CAF CL dhidi ya Stade Malien.

✅ Mechi itapigwa Jumapili Novemba 30 Saa 1 usiku kwa saa za Tanzania.
Unamuona Mnyama Akiondoka Na Mabao Mangapi Kwenye Mchezo Huu?

Comments
Post a Comment