Kikosi cha Klabu ya Yanga kitasafiri kesho Jumanne Novemba 18 saa tatu asubuhi kuelekea Zanzibar kwaajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FAR Rabat



 Kikosi cha Klabu ya Yanga kitasafiri kesho Jumanne Novemba 18 saa tatu asubuhi kuelekea Zanzibar kwaajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FAR Rabat ambapo itapigwa Jumamosi hii Novemba 22 katika uwanja wa Amaan.

Comments

Popular posts from this blog