Hat-trick katika North London Derby!
❤️🤍 Hat-trick katika North London Derby!
Eberechi Eze ameendelea kung’ara baada ya kufunga hat-trick katika Derby yake ya kwanza ya North London, na kufikisha magoli 6 kwenye mechi zake 4 za mwisho dhidi ya Spurs.
Mchezaji huyo ameibuka kuwa tishio kubwa kwa Tottenham, akionyesha ubora na ubunifu ambao unaendelea kumuinua kwenye orodha ya mastaa wanaoaminika zaidi katika Ligi Kuu.
FT : Arsenal 4
Tottenham Hotspur 1

Comments
Post a Comment