Bryan mbeumo katangazwa mchezaji bora wa mwezi oktoba ligi kuu ya england.
Baada ya kufunga mabao matatu na pasi moja ya goli, Bryan Mbeumo ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Oktoba wa Ligi Kuu England 🏆🇬🇧
Ni mara yake ya kwanza kabisa kushinda tuzo hiyo.
Pia mchezaji huyo amesajiliwa kutoka timu ya Brentford alipokuwa akiichezea timu hiyo kwa misimu kadhaa na baada ya man united kuona uwezo wake ikamsajili mshambuliaji huyooo matata kutokea timu ya Brentford.

Comments
Post a Comment